Judges 1:20

20 aKama vile Mose alivyoahidi, Kalebu alipewa Hebroni, naye akawafukuza wana watatu wa Anaki.
Copyright information for SwhNEN